UV unwrapping and texturing in blender

$12
0 ratings

Tutorial course hii inafundisha namna ya kupaka rangi 3d object zako ndani ya Blender3D.

Blender itausaidia kupaka rangi kama kwenye substance painter kwa maana tutapaka rangi directly kwenye surface ya 3D object.

Karibu ungana nami na wengine wengi katika kujifunza texture painting in blender.

Buy this

Utapata tutorial courses pamoja na project files zote...

Size
1.63 GB
$12

UV unwrapping and texturing in blender

0 ratings
Buy this