Rigging tutorial
$12
$12
https://schema.org/InStock
usd
Katika kozi hii tutajifunza jinsi ya kuweka mifupa ya 3D (Riggin) kwa kutumia Blender.
Kozi hii ni muhimu sababu inamuandaa character wako kwa ajili ya final animation na rendering.
Katika hii rigging tutorial tutajifunza vitu kama kuweka base body skeleton, weight painting, bone constraints na custom shapes the rig.
Ungana na wasanii wengine wengi online tujifunze hii fundamental ya riggin ndani ya blender.
Jifunze character rigging kwa urahisi